11/03/2021
"Halmashauri zote zinunue pikipiki kwa kutumia mapato ya ndani na kugawa Kwa Maafisa Ugani wasimamie shughuli za Kilimo kuwa na tija na kuondoa kero za wakulima"
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa Njombe leo